Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akifungua pazia kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa
jengoa makazi na biashara la Cictoria Place linalojengwa na NHC katika
eneo la Victoria jijini Dar es salam Octoba 20,2015. Kushoto ni Naibu
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angela kairuki na
kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemia Mchechu.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiwa na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo
ya Makazi, Angela Kairuki (wapili kushoto) na Mkurugenzi Mkuu wa
Shirika la Taifa la Nyumba (NHC), Nehemia Mchechu baada ya kuweka jiwe
la Msingi la Jengo la makazi na Biashara la NHC Place linalojengwa
katika eneo la Victoria jijini Dar es slaam.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wafanyakazi wa Shirika la Taifa la
Nyumba (NHC) wakati alipowasili kwenye eneo la ujenzi wa jengo la makazi
na biashara la Victoria Place linalojengwa na NHC katika eneo la
Victoria jijini Dar es salaam kuweka jiwe la msingi la ujenzi huo
Oktoba 20,2015.Kulia ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya
Makazi, Angela Kairuki na kulia kwake ni Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemia
Mchechu.
Mkurugenzi
Mkuu wa Shirika la Taifa la Nyumba (NHC), Nehemia Mchechu (kushoto)
akisoma taarifa ya ujenzi wa jengo la makazi na biashara la Victoria
Place linalojengwa na NHC katika eneo la Victoria jijini Dar es salaam
kabla ya Waziri Mkuu, Mizengo Pida kuweka jiwe la Msingi la ujenzi wa
jengo hilo, Oktoba 20,2015.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
No comments:
Post a Comment