
Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Mh. Joseph Mbilinyi "Sugu", wakiwasili katika uwanja wa Rwanda Nzovwe kwa Mkutano wa hadhara wa Kampeni, uliofanyika Jijini Mbeya leo Oktoba 18, 2015.
Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akiwahutubia wananchi wa Mji wa Mbeya katika Mkutano wa hadhara wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Rwanda Nzovwe, Jijini Mbeya leo Oktoba 18, 2015.
Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akimsikiliza kwa makini Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Mh. Joseph Mbilinyi "Sugu", wakati akizizungumzia changamoto mbali mbali zinaziwakabili wananchi wa jiji hilo, katika Mkutano wa hadhara wa Kampeni, uliofanyika Jijini Mbeya leo Oktoba 18, 2015.
Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akimnadi kwa wananchi Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Mh. Joseph Mbilinyi "Sugu", wakati wa Mkutano wa hadhara wa Kampeni, uliofanyika Jijini Mbeya leo Oktoba 18, 2015.
Waziri Mkuu wa zamani, Mh. Fredrick Sumaye, akiwahutubia wananchi wa Mji wa Mbeya katika Mkutano wa hadhara wa Kampeni za Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Rwanda Nzovwe, Jijini Mbeya leo Oktoba 18, 2015.
Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Mh. Freeman Mbowe akiwahutubia wananchi wa Jiji la Mbeya waliofurika kwenye Uwanja wa Rwanda Nzovwe, wakati wa Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, leo Oktoba 18, 2015.
KACHUKUA NCHI,LOWASSA KACHUKUA NCHI SHIME SHIME JUMAPILI TAREHE 25 OCTOBA 2015 TUWAHI KWENYE VITUO VYETU VYA KUPIGA KURA,TUMPE NCHI LOWASSA,KISHA TUKAE MKAO WA KUSHUHUDIA MAENDELEO MAKUBWA,NA-KAMA ILIVYO ADA,MAAJABU YA MHESHIMIWA RAIS LOWASSA KUENDELEA.MAJI YA ZIWA VICTORIA KUFIKA DODOMA,UNALIONAJE HILO? YAANI NI RAHA TUPU.TUZIDI KUMUOMBA MWENYEZI MUNGU.
ReplyDelete