Mkurugenzi
Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akitia saini
kwenye kitabu cha wageni kwenye banda la maonesho la NHC lilikuwapo
katika viwanja vya Ngongo mkoani Lindi kulikokuwa kukifanyika maonesho
hayo ya Nane Nane kitaifa.
Wateja
wakipata maelekezo kutoka kwa maafisa wa mauzo wa Shirika la Nymba la
Taifa kwenye maonyesho ya Nane Nane Kitaifa Ngongo, Lindi.

Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akihutbia
wakazi wa Lindi kwenye uwanja wa Nane Nane Ngongo ambapo alihitimisha
kilele cha sikukuu ya wakulima Nane Nane. Maonesho ya nane nane
yaliyofanyika kitaifa katika viwanja vya Ngongo mkoani Lindi.

No comments:
Post a Comment