Wananchi wakimsindikiza Waziri mkuu msaafu Edwald Lowassa (CHADEMA)
wakati akielekea kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,kupitia
chama cha Demokrasioa na Maendeleo (CHADEMA) wakitokea ofisi za chama
hicho kupitia ofisi za CUF na kuhitimisha katika ofisi za NEC jijini Dar
es Salaam leo.



No comments:
Post a Comment