Richard
Rugimbana Mwenyekiti wa Chama cha Wanafunzi waliosoma katika shule ya
(St Joseph Cathedral High School Alumn )kuanzia mwaka 1940 - 2014
akizungumza katika mkutano wao uliofanyika shuleni hapo jana wakati wa
kikao chao kikilchojadili mipango mbalimbali ikiwamo kuanzisha mfuko wa
Elimu utakaosaidia kuwasomesha wanafunzi wa shule hiyo wenye mahitaji
maalum ikiwemo kuwapatia Scholaship katika vyuo mbalimbali.
Chama
hicho kinatarajiwa kuzinduliwa rasmi Septemba 26 kwenye ukumbi wa
Karimjee jijini Dar es salaam , Katika kufanikisha uzinduzi huo kadi
maalum zimeandaliwa ambazo zitauzwa shilingi 50.000 kwa mtu mmoja ,
100.000 kwa watu wawili na meza za watu kumi kila moja zitakazouzwa kwa
kiasi cha shilingi 1.000.000. Katika Picha kushoto ni Katibu wa Chama
hicho Bwa.Collins Rutenge.
Richard
Rugimbana Mwenyekiti wa Chama cha Wanafunzi waliosoma katika shule ya
(St Joseph Cathedral High School Alumn )kuanzia mwaka 1940 - 2014
akisisitiza jambo katika mkutano huo uliofanyika jana.
Mariam
Ziaror mmoja wa wanachama hao akizungumza jambo wakati wa mkutano huo
uliofanyika jana (St Joseph Cathedral High School .
Chief Edward Makwaia akichangia jambo katika mkutano huo
Bw.
Hassan Ndumbaro mmoja wa wanachama hao akizungumza jambo katika mkutano
huo kutoka kushoto ni Leaticia Mukarasa, Mariam Zialr na Chief Edward
Makwaia.
Dr.
Zubeida Tumbo kutoka taasisi ya Room To Read Tanzania ambaye pia
alisoma katika shule hiyo akichangia mawazo yake wakati wa mkutano huo.
Baadhi ya wanachama wakiwa katika mkutano huo
Mkutano ukiendelea.
Mkuu wa shule ya (St Joseph Cathedral High School )Sr. Theodeta Faustin akizungumza na wanachama hao wakati wa mkutano huo.

No comments:
Post a Comment