Sunday, August 9, 2015

UPEPO MWANANAAA....

Mdau akifurahia Jua Motomoto Na Upepo mwananaa kwenye moja ya kikwangua Anga kilicho chomoza kando kando ya nyumbaa..
Mdau huyo akiteta jambo na Mwenzaka alie kuwa akimuonea Geree (Hayupo Pichani) naye kuhitaji kupata Unono huo kwenye kikwangua Anga hichoo....
"Nikimaliza ntakucheki na wewe Upandee Basii.."

No comments:

Post a Comment