Mganga
kutoka kitengo cha afya makao makuu ya jeshi la polisi Tanzania, Dk
Issa Ndimila akimchukua damu dereva wa magari makubwa, Benedicti Samuel
kwa ajili ya kumpima magonjwa katika uzinduzi wa upimaji wa afya kwa
madereva wa mabasi na malori ya masafa marefu ikiwa sehemu ya
maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama barabarani katika kituo cha
mizani cha Mikese mkoa wa Morogoro mpango ulioanzishwa na TBL na jeshi
la polisi nchini.
Mganga kutoka kitengo cha afya makao makuu ya jeshi la polisi Tanzania, Dk Issa Ndimila akimchukua damu dereva wa magari makubwa, Kanai John kwa ajili ya kumpima magonjwa katika uzinduzi wa upimaji wa afya kwa madereva wa mabasi na malori ya masafa marefu ikiwa sehemu ya maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama barabarani katika kituo cha mizani cha Mikese mkoa wa Morogoro mpango ulioanzishwa na TBL na jeshi la polisi nchini.
Katibu
Tawala wilayaa ya Morogoro, Emmanuel Nzunda akimkabidhi zawadi ya
fulana na cheti dereva wa magari makubwa baada ya kupima afya wakati wa
maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama barabarani katika kitucha
mizani cha Mikese mkoa wa Morogoro, mpango ulioanzishwa na
TBL na jeshi la polisi nchini.
Askari wa kikosi cha usalama barabarani mkoa wa Morogoro, Silve Massawe akijaza taarifa za dereva Edward Sanga baada ya kupima afya katika uzinduzi wa upimaji wa afya kwa madereva wa mabasi na malori ya masafa marefu ikiwa sehemu ya maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama barabarani katika kituo cha mizani cha Mikese mkoa wa Morogoro mpango ulioanzishwa na TBL na jeshi la polisi nchini.
Askari wa kikosi cha usalama barabarani mkoa wa Morogoro, Silve Massawe akijaza taarifa za dereva Abdallah Rajabu baada ya kupima afya katika uzinduzi wa upimaji wa afya kwa madereva wa mabasi na malori ya masafa marefu ikiwa sehemu ya maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama barabarani katika kituo cha mizani cha Mikese mkoa wa Morogoro mpango ulioanzishwa na TBL na jeshi la polisi nchini.
Mganga kutoka kitengo cha afya makao makuu ya jeshi la polisi Tanzania, Dk Issa Ndimila akimchukua damu dereva wa magari makubwa, Kanai John kwa ajili ya kumpima magonjwa katika uzinduzi wa upimaji wa afya kwa madereva wa mabasi na malori ya masafa marefu ikiwa sehemu ya maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama barabarani katika kituo cha mizani cha Mikese mkoa wa Morogoro mpango ulioanzishwa na TBL na jeshi la polisi nchini.
TBL na jeshi la polisi nchini.
Askari wa kikosi cha usalama barabarani mkoa wa Morogoro, Silve Massawe akijaza taarifa za dereva Edward Sanga baada ya kupima afya katika uzinduzi wa upimaji wa afya kwa madereva wa mabasi na malori ya masafa marefu ikiwa sehemu ya maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama barabarani katika kituo cha mizani cha Mikese mkoa wa Morogoro mpango ulioanzishwa na TBL na jeshi la polisi nchini.
Askari wa kikosi cha usalama barabarani mkoa wa Morogoro, Silve Massawe akijaza taarifa za dereva Abdallah Rajabu baada ya kupima afya katika uzinduzi wa upimaji wa afya kwa madereva wa mabasi na malori ya masafa marefu ikiwa sehemu ya maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama barabarani katika kituo cha mizani cha Mikese mkoa wa Morogoro mpango ulioanzishwa na TBL na jeshi la polisi nchini.

No comments:
Post a Comment