Saturday, August 8, 2015

KUTOKA VIWANJA VYA JOHN MWAKANGALE NANENANE LEO JIJINI MBEYA...

Kamera ya Mtaa Kwa Mtaa Blog ilipata Kushuhudia jinsi ambavyo hali ilivyo katika Viwanja vya John Mwakangale Alalam Nanenane Jijini Mbeya jinsi ambavyo Watu wengi kutoka maeneo mbalimbali ya nyanda za juu Kusini Kusherehekea siku hii ya Maadhimisho ya Siku kuu ya Nane Nane Iliyo fanyika ki kanda jijini Mbeya kuanzia Agosti moja....Picha zote na Fadhiri Atick Mr.Pengo Mbeya..
Wanafunzi wa Shule ya Msingi wakiwa katika katizakatiza kujionea maonyesho mbalimbali katika Viwanja vya Nanenane Mbeya..
Pilika pilika za hapa na palee...
Wauza Nyama za kuchoma wakiwa katika mapumziko...
Mpima Uzito akizungumza jambo na mteja wake..
Vijana wa Skauti wakipata Chakula kwenye moja ya Kambi zao..
Ngongoti wakisherehesha Katika viwanja hivyo..

                                          Katiza katiza zikiendelea Viwanjani hapo..
Sehemu ya Mitimbaa..

No comments:

Post a Comment