Monday, June 8, 2015

UMAHIRI KATIKA KUWEKA MWILI SAWA.

 Msanii wa Sarakasi akionyesha umahiri wake katika kufanya mazoezi ya viungo kama alivyokutwa na kamera ya Mtaa kwa Mtaa eneo la Bagamoyo mkoani Pwani.
 Japokuwa sehemu anayofanyia matizi hayo si salama kutokana na kuwepo kwa shimo kubwa na chemba, lakini mwanasarakasi huyu hata hakujali na aliendelea na tizi lake kama kawa.
Umahiri katika kujikunja aina tofautitofauti katika kuweka mwili sawa.

No comments:

Post a Comment