Tuesday, June 16, 2015

TASWIRA KUTOKA UWANJA WA NDEGE WA ZAMANI JIJINI MBEYA.

Watu wengi hivi sasa wanaendelea kujimwaya mwaya kwa kupita na kukatiza katika uwanja wa ndege wa zamani jijini mbeya kulinganisha na apo awali ambapo palikuwa si ruhusa kukatiza katika uwanja huo.

No comments:

Post a Comment