kila mmoja yupo bize na kisu chake....
Sunday, May 24, 2015
WATOTO WAKICHEZA NA VISU KATIKA UMENYAJI WA VIAZI....
hii ni mara baada ya mapumziko ya weekend watoto hawa ni kawaida yao kusaidia shughuli mbalimbali za nyumbani kama waonekanavyo katika taswira hapo juu wakiwa bize na umenyaji wa viazi kuajili ya chakula cha mchana.
kila mmoja yupo bize na kisu chake....
kila mmoja yupo bize na kisu chake....



Nyumbani rahaa . Huku ulama subutu ati my ashoke kisu . Kiwembe tuu ukutwe Nacho mfukoni kosaa. Dinia ni sheria
ReplyDeleteMungu awakuze wanangu awape elimu muwe maraisi wa kesho