Friday, May 29, 2015

SAFARI YA MBUZI

 Kamera ya Mtaa kwa Mtaa kama kawaida yake, leo imeinasa taswira hii ya Mbuzi wakisafirishwa kuelekea mnadani. nje kidogo ya mji wa Mwanga, Mkoani Kilimanjaro.

No comments:

Post a Comment