HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, May 1, 2015

MKOA WA MBEYA WALIVYOSHEREHEKEA SIKUKUU YA WAFANYA KAZI(MEI MOSI) KATIKA UWANJA WA SOKOINE JIJINI MBEYA.

 Mkuu wa mkoa wa mbeya mh.Abasi Kandolo aungana na wafanya kazi mbalimbali katika sikuu ya wafanya kazi (mei mosi) na kuzungumza na wafanyakazi wa mkoa wa mbeya mapema leo katika uwanja wa sokoine jijini mbeya.picha na Fadhiri Atick (Mr.Pengo) Mbeya.
 bendi kutoka kikundi cha kihumbe ikiongoza maandamano kuingia uwanjani ambapo ndipo sherehe hii ilipo fanyika.
" MFANYAKAZI KAJIANDIKISHE KURA YAKO NI YA MUHIMU KWA MAENDELEO YETU"
 Baadhi ya wafanyakazi mbalimbali wakiingia uwanjani kwa maandamano.
                                            PICHA ZAIDI HAPA.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad