Sunday, May 3, 2015

MAMBO YA RAMBO ZA MIA MIA HAYA.

 Mfuko wa rambo wajikuta ukiwa inamisha chini akina mama wawili pamoja na mwanao wa kiume eneo la Mwanjerwa mara baada ya kupasuka na kumwaga vitunguu vyote chini kando kando ya barabara hiyo.picha na mtaa kwa mtaa blog.
utaratibu wa kuzoa viungo hivyo ukiendelea.

No comments:

Post a Comment