wakina mama hawa waliopo eneo la darajani soko lao pendwa wakiwa katika mkao wa kazi kwenye eneo lao la kujidai.
mama sambamba na mtoto mgongoni akipanga biashara yake na hii ni kuhakikisha yeye sambamba na familia wana pata chochote kitu.
"mtake msitake hapa mtakuja tuu.... na machungwa mazuri yote yanapatikana hapa heheheeeee"
hivi ndivyo palivyo changamka hususani majira ya jioni eneo la kujidai darajani makunguru jijini mbeya.



No comments:
Post a Comment