Friday, May 22, 2015

Angalia Maandamano ya Mbuzi hapa

 Wakazi wa maeneo mbali mbali jijini Dar wakiwa wamekusanyika kando ya barabara ya Kawawa na Uhuru kuwaangalia Mbuzi waliokuwa wakikatiza katikati yao jana, wakati Baadhi ya Walemavu waliovunjiwa mabanda yao ya biashara kufunga barabara. Kilikuwa ni kituko cha aina yake kwani Mbuzi hao walipoamua kuingia katikati kwa staili ya maandamano.
Mara wakaanza kuswagwa waondoke kwenye eneo hilo maana maandamano yao yalikuwa hahusiki pale.
 "Haya kwendeni kuleeee......" hivi ndivyo alivyosikika bwana huyu wakati akiwatimua mbuzi hao.

No comments:

Post a Comment