Wakazi wa jiji la Dar es salaam wakipita jirani na chemba la maji taka linalotiririsha maji yenye harufu mbaya katika mtaa wa Mkunguni karibu na Soko la Kisutu, kwa maaelezo ya wafanyabiashara wa soko hilo wanadai chemba hilo linatiririsha maji kwa muda mrefu bila ya wahusika kuchukua hatua zozote.Picha na Philemon Solomon,Mtaa kwa Mtaa Blog.
Thursday, October 16, 2014
Home
Unlabelled
chem chem la kisasa katika Soko la Kisutu,jijini Dar
chem chem la kisasa katika Soko la Kisutu,jijini Dar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment