Kikosi kamili cha Yanga kilichoifunga Azam FC 3-0 katika mchezo wa Ngao ya Hisani leo.
Kikosi cha Azam FC.
Mshambuliaji wa Yanga Mrisho Ngasa, kushoto akimtoka
beki wa Azam FC, Erasto Nyoni katika mchezo wa Ngao ya Hisani uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa
jijini Dar es Salaam. Yanya imeshinda 3-0.
No comments:
Post a Comment