Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania,Fombo Butallah (kulia)
akizongea na waandishi wa habari jijini Dar es salaam leo wakati
akizingumzia ushindi wa tuzo ya Dhahabu (Monde Selectiaon) ulioipata Bia
ya Ndovu Special Malt katika mashindano ya Bia kutoka makampuni mbali
mbali Duniani,yaliyofanyika nchini Ufaransa hivi karibuni.Kulia ni
Meneja wa Bia ya Ndovu Special Malt,Pamella Kikuli.
Meneja wa Bia ya Ndovu Special Malt,Pamella Kikuli akielezea namna
mashindano hayo ya Bia yalivyoendeshwa na mpaka bia yake kupata tuzo
hizo hiyo.
No comments:
Post a Comment