Kaimu Mkurugenzi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, Hamis Mdee akitoa maelezo ya utangulizi kwa viongozi wa Chama cha wafanyakazi wa Taasisi za Elimu ya juu (THTU) walipotembelea jana Makao Makuu ya NHIF.
Kaimu Mwenyekiti wa THTU, Bw. Yahya Kishashu akifafanua jambo katika mkutano huo.
Sehemu ya viongozi wa THTU waliohudhuria mkutano huo.
Viongozi hao wakifuatilia maelezo kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NHIF (hayupo pichani).
Mkurugenzi wa Uendeshaji Bw. Eugen Mikongoti (Katikati) akiteta jambo na Katibu Mkuu wa THTU, Bw. Maswanya Kulu wakati mkutano huo ukiendelea.
Meneja wa Matekelezo Grace Lobulu akitoa ufafanuzi wa hoja zilizowasilishwa kwenye mkutano huo.
Sehemu ya viongozi wa THTU wakifuatilia hoja.
No comments:
Post a Comment