HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, March 4, 2014

Taasisi ya Farida Foundation yatoa msaada wa vifaa kwa wanafunzi wenye mtindio wa ubongo shule ya msingi Tabata jijini Dar

Mwenyekiti wa Taasisi ya Farida Foundation,Bi. Farida Abdul Sekimonyo (wa pili kulia) akikabidhi sehemu ya vitabu kwa mmoja wa Mwanafunzi mwenye mtindio wa Ubongo wanaosoma Shule ya Msingi Tabata jijini Dar.Farida Foundation imetoa vifaa mbali mbali vya kusomea kwa watoto hao wenye mtindio wa Ubongo waliopo kwenye Shule hiyo.Taasisi hiyo ya Farida Foundation imekuwa ikisaidia Walemavu wa aina zote watoto, vijana na watu wazima waliopo Tanzania nzima mpaka sasa imeshasaidia walemavu zaidi ya 40 kuwapatia Huduma ya chakula malazi baiskeli za kutembelea na vifaa vya shule.
Mwenyekiti wa Taasisi ya Farida Foundation,Bi. Farida Abdul Sekimonyo akiwa na mmoja wanafunzi wa Shule ya Msingi Tabata,ambaye ni mlemavu wa mtindio wa ubongo.
Sehemu ya vifaa hivyo vilivyotolewa kwa ajili ya matumizi ya Wanafunzi hao.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad