Mwamuzi Kabwe Corona akirushiwa maneno na wachezaji wa timu ya New generation inayoshiriki ligi daraja la tatu ngazi ya mkoa wa Kilimanjaro.
|
Mashabiki wanaodaiwa kuwa ni wa timu ya New Generation wakivamia uwanja kwa ajili ya kutoa kichapo kwa mwamuzi.
|
Mwamuzi Corona Kabwe akijitahidi kujitetea.
|
Baadae New generation wakakubali penati ipigwe.
|
Kocha wa timu ya New generation Isaack Gamba akitulizwa na kocha Norman Kayange wakati akilalamikia penati hiyo.
|
Baada ya penati kupigwa na goli kufungwa mashabiki wakamgeuza asusa mwamuzi Kabwe Korona.
|
Mwamuzi wa akiba Henry Lymo pia alitishwa kidogo hapa.
|
Hivyo hali ilibadilika uwanjani na mchezo ukavunjika.
|
No comments:
Post a Comment