HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, February 22, 2014

HUJAFA HUJAUMBIKA: MDAU HUYU WIKI ILIYOPITA ALIKUWA MZIMA KABISA

Mtanzania Elisha Bahunde jina maarufu Eric ambaye siku ya Jumamosi Feb 15, 2014 alipata ajali Jimbo la Indiana iliyopelekea kukatika kwa miguu yote miwili na mkono wa kulia na baadae kuhamishiwa Jimbo la Maryland kwa matibabu zaidi kwa sasa yupo University Of Maryland Medical Center iliyopo 22 S Greene St, Baltimore, MD Ghorofa ya 6 chumba # 8 na anatumia jina la Elisha Bahunde.ama kweli hujafa hujaumbika na Mwenyezi Mungu ndiye mueza wa kila jambo,Mdau huyu wiki iliyopita alishiriki kwenye Kijiwe cha Ughaibuni (muangalie kwenye video hapo chini) ameva shati la njano na amekaa karibu na Ally Bambino


Video streaming by Ustream
 Elisha Bahunde akiwa chumba # 8 ghorofa ya 6 alipolazwa tangia siku ya Jumatano Feb 19, 2014 alipoletwa Maryland kwa matibabu zaidi
 Elisha Bahunde au Eric akiwa hana miguu wa mkono kama picha inavyoonyesha.
 Rais wa Jumuiya DMV, Bwn. Idd Sandaly akiwa Hospitalini hapo kumjulia hali mgojwa
 Abdi Makeo amkimjulia hali Elisha Bahunde
 Said Mwamende akimjulia hali Bwn. Eric huku akilengwa na machozi
 Wanajumuiya waliofika kumjulia hali wakiwa hawaamini walichokiona.
Kutoka kushoto ni Abdi Makeo, Saidi Mwamende, Rais wa DMV Idd Sandaly na Jabir Jongo wakiwa chamba cha mapumziko baada ya kumaliza kumjulia hali Elisha Bahunde kwa jina lingine Eric

2 comments:

  1. Pole sana Kaka Elisha (Eric Bahunde) a.k.a Keki, kwa yaliyokufika, nikweli inatisha inaogopesha inasononesha inafadhaisha, lakini unatakiwa upige moyo konde, ujipe moyo, ujiamini na ujikubali ili maisha yapate kuendelea. mshukuru mungu kwa kila jambo

    ReplyDelete

Post Bottom Ad