HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, July 10, 2013

maji bado ni kitendawili kwa baadhi ya maeneo hapa nchini

Kamera yetu ilibahatika kukutana na wakazi hawa wa Mji wa Mkata,wakiwa na madumu yao kwenye foleni ya kuteka maji yanayotoka kwenye moja ya gari lililokuwa limeegeshwa kwa juu hapo pembeni.hii ni kutokana na uhaba wa maji unaoendela katika maeneo mbali mbali hapa nchini.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad