Meneja Mkuu wa Zuku Tanzania,Fadhili Mwasyeba akizungumza na wageni mbali mbali waliokuwa wamehudhulia kwenye hafla ya Uzinduzi Channel mpya ya Zuku Swahili Movies,uliofanyika kwenye hoteli ya Naura Spring,Jijini Arusha.Meneja huyo pia alizungumzia ubora wa king'amuzi cha Zuku hasa katika mpango wa Zuku Pay TV.
|
Mchekesaji Maarufu nchini,Mzee Amri Athuman a.k.a King Majuto (kati) akiteta jambo na Mdau Maria Sarungi wakati wa Uzinduzi Channel mpya ya Zuku Swahili Movies,uliofanyika kwenye hoteli ya Naura Spring,Jijini Arusha.Mzee Majuto ni Balozi wa Channel hiyo mpya.
|
No comments:
Post a Comment