HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, June 20, 2013

Kamati ya Miss Tanzania yaitembelea kambi ya Redd's Miss Kinondoni 2013

Mkurugenzi wa kamati ya Miss Tanzania,Hashim Lundega akiongea na warembo wanaowania taji la Redd's Miss Kinondoni 2013 mara baada ya kuwatembelea kambini kwao ili kuona Maendeleo yao. Lundenga aliwaasa washiriki hao kuongeza bidii katika mazoezi yao ili waweze kufanya vyema katika fainali yao.
Mkuu wa Itifaki wa Kamati ya Miss Tanzania, Albert Makoye akiongea machache wakati kamati hiyo ilipotembelea Kambi ya Mazoezi ya Redd's Miss Kinondoni 2013 iliyopo katika hoteli ya JB Belmont hoteli jijini Dar es Salaam. Wengine pichani kutoka upande wa mkuu wa Itifaki ni katibu Bosco Majaliwa, Mkurugenzi wa kamati ya Miss Tanzania Hashim Lundega, mjumbe wa kamati hiyo, Lucas Rutta wakiwa pamoja muandaaji wa mashindano hayo Dennis Ssebo.
Warembo wa Redds Miss Kinondoni wakiwa wamejipanga mara baada ya kumaliza mazoezi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad