HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, July 12, 2012

Kamera ya Mtaa kwa Mtaa na Muonekano wa Maeneo ya Kati kati ya Jiji la Dar leo

 Jangwani ukitokea Magomeni Mapipa inavyoonekana leo.
 Wamachinga wa Ubungo Mataa
 Dogo Msafisha vioo vya Magari ya watu akisikilizia ujira toka kwa Boss.
 Wachuuzi wa Mkaa wakipandisha kilima cha Kibamba.
 Mjomba haraka haraka haina Barakaaaaa.......
 Gari la Taka lodini.
 Suka na Matandiboi wake.
 Muuza Mayai katikati ya Barabara kana kwamba Baiskeli yake ni Gari pia.
 Manzese ya sasa.
 Bodaboda kazini.
 Daladala kama kawa,kusimama katika kituo husika kwake ni jambo gumu.
Ubungo Tanesco.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad