Makamu wa Rais anayeshughulikia Biashara wa kampuni ya SPANCO, Chandrashekhar Narayanan (wa pili kulia) akimtunuku cheti cha mfanyakazi bora Melissa Makanzo wakati wa hafla ya kusherehekea mwaka mmoja wa utoaji wa huduma kwa wateja, Dar es Salam mwishoni mwa wiki.
Meneja Mafunzo wa kampuni ya SPANCO ambao ni wakala wa Huduma kwa Wateja wa Airtel, Saad Hussein (kulia) akimtunuku cheti cha mfanyakazi bora mfanyakazi wa kampuni hiyo, Neema Shoo wakati wa hafla ya kusherehekea mwaka mmoja wa utoaji wa huduma kwa wateja, Dar es Salam mwishoni mwa wiki.
Wafanyakazi wa kampuni ya SPANCO (kutoka kulia) Zena, Thabit Kaghembe na Fatuma Ngonyani wakiwa kwenye picha ya pamoja wakati wa hafla hiyo.
Makamu wa Rais anayeshughulikia Biashara wa kampuni ya SPANCO, Chandrashekhar Narayanan (wa pili kushoto) akiwa kwenye picha ya pamoja na wafanyakazi wa kampuni hiyo, Meneja wa Fedha Jainesh Patel (kulia), Zena na Thabit Kaghembe.
Wafanyakazi wa SPANCO wakicheza kwaito wakati wa hafla hiyo.
Watendaji wakuu wa kampuni ya SPANCO wakiwa kwenye picha ya pamoja na wafanyakazi waliotunukiwa vyeti vya ufayajikazi bora na wafanyakazi wengine.
No comments:
Post a Comment