Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiongozana na Rais wa Botswana Luteni Jenerali Seretse Khama Ian Khama wakati alipowasili Uwanja wa Ndege wa Sir Seretse Khama jijini Gaberone, Botswana, leo kwa ziara ya kikazi ya siku mbili ambapo pia atahudhuria sherehe za miaka 50 tangu kuzaliwa kwa chama tawala cha nchini huko cha BOTSWANA DEMOCRATIC PARTY.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais wa Botswana Luteni Jenerali Seretse Khama Ian Khama katika Uwanja wa Ndege wa Sir Serese Khama jijini Gaberone, Botswana,wakati Rais Kikwete alipowasiri nchini humo leo kwa ziara ya kikazi ya siku mbili ambapo pia atahudhuria sherehe za miaka 50 tangu kuzaliwa kwa chama tawala cha nchini huko cha BOTSWANA DEMOCRATIC PARTY.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Mwenyeji wake Rais wa Botswana Luteni Jenerali Seretse Khama Ian Khama wakiangalia ngoma ya asili ya nchi hiyo.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikagua paredi ya Majeshi ya nchi hiyo.
No comments:
Post a Comment