HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, February 26, 2012

Rais Kikwete arejea nchini leo

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Mh. Said Meck Sadick wakati alipowasiri nchini leo akitokea nchini Botswana alikohudhuria Sherehe za Miaka 50 ya kuzaliwa kwa Chama Tawala cha nchi hiyo.Wengine Pichani ni Viongozi Mbali mbali wa Serikali waliofika kumpokea Rais Kikwete leo.
 Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwapungia mkono wananchi wa Botswana wakati akindoka nchini humo kurejea jijini Dar es Salaam leo.Kushoto kwake ni Mwenyeji wake,Rais wa Botswana,Luteni Jenerali Seretse Khama Ian Khama.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Rais wa Botswana,Luteni Jenerali Seretse Khama Ian Khama wakati alipokuwa akiondoka nchini Botswana mapema leo asubuhi,kurejea jijini Dar es Salaam.Picha na Ikulu.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad