HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, February 8, 2011

mtalii wa ndani mie

hapa nipo na mdau Erick ambaye maskani yake yapo mjini Iringa leo wakati akinionyesha mitaa ya mji huo asubuhi ya leo.
mie (shoto) na Erick
hapa tukiwa tumekaa kando kando ya barabara kuu ielekeayo Iringa mjini.

2 comments:

  1. Nimeguswa na jinsi barabara ilivyotengenezwa vizuri. Iringa Ipo juu mlimani strategically kwa ajili ya kupambana na maadui enzi za Mjerumani. Huihitaji kujenga ngome.

    ReplyDelete
  2. Twasira imetulia hapo kwenye mlivyo kaa barabara ya kupita kwam iguu. na hiyo ya juu huku barabara pembeni kama milima. MZ

    ReplyDelete

Post Bottom Ad