
kamera ya Mtaa kwa Mtaa iliinasa daladala hii ikiwa imeharibika katikati ya safari na kulazimika kushusha abiria woote,ila kondakta alitaka kuingia mitini na bahati nzuri alidakwa na mmoja wa abiria wa daladala hiyo na kuwekwa mtu kati mpaka akarudisha nauli za abiria wote.
No comments:
Post a Comment