HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, July 3, 2010

Redd's Miss Kinondoni Ni Alice Lushiku

Redd's Miss Kinondoni 2010 Alice Lushiku akiwa katika picha ya pamoja na mshindi wa pili Amisuu Malik (shoto) na mshindi wa tatu Irene Hezron.
Redd's Miss Kinondoni 2010 Alice Lushiku akiwa katika picha ya pamoja na tano bora mara baada ya kutangazwa kwa mshindi wa taji hilo usiku huu katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar.mshindi wa pili ni Amisuu Malik (pili toka shoto) na mshindi wa tatu Irene Hezron (kulia) huku mshindi wa nne akiwa ni Edna Kwilasa na watano ni Calorine Ndembo.shughuli hii ya kumshaka mrembo wa Kinondoni imemalizika usiku huu katika ukumbi wa Mlimani City jijini DarDa'Kabula wa Redd's akipata taswirazz na Redd's Miss Kinondoni 2010.
tano bora
Mkurugenzi wa kampuni ya Boy George Promotion,Bw George akitangazashindi wa taji la Redd's Miss Kinondoni usiku huu.
warembo wote walioshiriki Redd's Miss Kinondoni wakiwa wamejipanga kwa kujinadi kwa mashabiki.
majaji wakifuatilia shindano hilo kwa umakini mkubwa.
Mkurugenzi wa Masoko wa TBL,David Minja akibadilishana mawazo na Boy George ambae ndio mratibu wa Miss Kinondoni usiku huu.
wana wa kutwanga na kupepeta wakifanya vitu vyao jukwaani.
T.H.T nao waliangusha shoo kabambe.
warembo wakionyesha shoo yao
warembo wa TMK nao walikuwepo kuwacheki wenzako wa Kino usiku huu.
wadau wa TBL wakifuatilia mtanange huo
wadau wa Miss Tanzania
mdau Kim (kati) akiwa na marafikize ndani ya Mlimani City katika kumsaka mlimbwende wa Kinondoni.
kabla mambo hayajachangaya huku Miss Kinondoni wadau walipata washaha wa kuisapoti Ghana japo ilikufa kiume.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad