Leo Tarehe 25/06/2010 ni mwaka mmoja taslimu tangu Mfalme wa Pop Duniani,Michael Jackson alipofariki dunia. Michael Jackson ambaye alikuwa ni mmoja kati ya watu wapekee kabisa katika Dunia hii alifariki ghafla mnamo tarehe kama ya leo mwaka jana baada ya kuzidiwa ghafla na kukimbizwa hospital ambako mauti yalimfika.kwakweli Michael Jackson atakumbukwa sana hasa kwa mambo meni mazuri aliyoyafanya.hebu cheki moja video zake hapo uone jamaa alivyokuwa mkali.mungu ailaze mahala pema roho yake Michael Jackson.
No comments:
Post a Comment