
safu ya ushambuliaji ya wana wa kutwanga na kupepeta

Victor Mkambi akiwajibika

kiduku kikichezwa

waimbaji wa bendi ya twanga pepeta wakifanya vitu vyao jukwaani leo wakati wa maadhimisho ya miaka kumi ya Kutwanga na Kupepeta katika viwanja vya lidaz klabu.

wanenguaji wa twanga pepeta wakiongozwa na mama lao Aisha Madinda wakionyesha vitu vyao katika maadhimisho ya miaka 10 ya bendi hiyo.

mkaanga chips wa siku nyingi katika bendi ya twanga pepeta,Abou Semhando a.k.a Baba Diana akiwajibika

MCD na tumba zake kama kawa.
Prof Jay akiwapagawisha mashabiki waliofika katika viwanja vya lidaz klabu kusherehekea maadhimisho ya miaka 10 ya bendi ya twanga pepeta.
Mwanamuziki wa nyimbo za asili toka nchini Kenya,Thomas Nyadungo nae alikuwepo katika maadhimisho ya miaka 10 ya bendi ya twanga pepeta.

mzee wa Shikide,Dully Sykes akifanya vitu vyake

watu kibao walifika lidaz leo kushuhudia maadhimisho ya miaka 10 ya bendi ya twanga pepeta.
No comments:
Post a Comment