HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, May 5, 2010

Kuuliza Si Ujinga

hivi hii mistari ya katikati ya barabara huwaga inamaanisha nini??

4 comments:

  1. Madereva wengi bongo hawatilii maanani hizi alama za barabarani ... Inamaanisha aliyeko kushoto, kama hilo lori, HARUHUSIWI kuvuka huo mstari wa moja kwa moja (HARUHUSIWI ku-overtake); ila anayetoka juu ANARUHUSIWA ku-overtake akipata nafasi (mstari wake siyo wa moja kwa moja)

    ReplyDelete
  2. Mistari hiyo Mukulu humwonyesha dereva eneo ambalo anaruhusiwa kulipita gari lingine na eneo ambalo haruhusiwi. Kwa mfano hilo Tipa nyuma haliruhusiwi kulipita gari la mbale yake. Isipokuwa magari ambayo yanakuja upande mwingine yanauwezo wa kuyapita mengine. Unaweza kutambua hiyo mistari kwa vidoti na hiyo mistari mirefu. Kwa vidoti overtake ruksa lakini kwa mistari ya moja kwa moja dereva haruhusiwi kuyapita magari mengine.

    ReplyDelete
  3. Anonymous wa kwanza hapo juu kama wewe una driving license basi uliipata kwa kuhonga.
    Mdau wa pili yuko sawa kabisa! gari liliko katika Lane ya kushoto linaruhusiwa kuovertake kupitia lane ya kulia iwapo kutakuwa hakuna overcoming car, na gari inakuja posite(lane ya kulia mwa picha) hairuhusiwi kuovertake hata kama kutakuwa hakuna gari inayokuja oposite kwake.
    Hivyo mwenye Lori anaweza kuovertake bila wasiwasi iwapo kutakuwa free.

    ReplyDelete
  4. mchemko. hakuna mistari ya namna hii .
    ilitakiwa iwe aina moja tu, huwezi kuipandishia kwa staili hii, sijawahi kuona. first time hapaa mtaa kwa mtaa.
    ila kwa maelezo nyote mko sahihi hapo juu .

    ReplyDelete

Post Bottom Ad