Mgambo wa Jiji wakiwa wamemkamata mmoja wa wamacchinga waliokuwa wakifanya biashara nje ya soko la Karime kinyume na taratibu. nusura ngumi zipigwe kati ya mgambo na chinga wakiendelea kukusanya pamba zilizokuwa zikiuzwa na wamachinga hao jamaa baada ya kuushtukia mchezo wa mgambo wa jiji walianza kutoka nduki kuokoa mali zao.
No comments:
Post a Comment