HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, April 23, 2010

Katibu Mkuu Wa Wizara Ya Miundombinu,Akagua Ujenzi Wa Barabara ya Ndundu-Somanga

Katibu mkuu wa Wizara ya Miundombinu Omari Chambo (katikati) akisikiliza maelezo ya meneja mradi wa kampuni ya AM A Kharaf and Sung Bw. Tery Tore kuhusu ukamilishwaji wa barabara ya Ndundu Somanga yenye urefu wa kilometa 60 kwa kiwango cha lami leo.
Katibu mkuu wa Wizara ya Miundombinu Omari Chambo akiwa ameambatana na meneja mradi wa kampuni ya AM A Kharaf and Sung kuangalia sehemu inayoendelea kufanyiwa marekebisho katika barabara ya Ndundu Somanga yenye urefu wa kilometa 60 kwa kiwango cha lami leo.
Picha na Aron Msigwa –MAELEZO.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad