
Mdau Chibiriti (kushoto) kila mara anapokuja hapa Bongo basi ni lazima afike katika kituo cha kulelea watoto yatima cha Makalala,kilichopo mkoani Iringa.na akifika huko ni lazima asaidie kazi za pale kituoni.na hapa yupo katika kusaidia kupukuchua mahindi makavu ili yakakobolewe na kusagwa kwaajili ya chakula cha watoto hao.unaweza tembelea Blog yake aliyoianzisha kwa ajili ya kituo hicho kupitia
HAPA
No comments:
Post a Comment