HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, August 18, 2009

Mtaa Wa Agrey Usiku Huu

gari kubwa la kubeba mizigo likiwa limepaki katikati ya njia ya mtaa wa Agrey street huku gari zingine zikiwa zimesimama kusubiri lori hilo limalize kushusha mzigo ili na wengine waweze kupita.swala hili la magari haya kupaki katikati ya njia limekaaje wadau??

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad