HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, August 18, 2009

Mpigie Kura Illuminata Aweze Kusonga Mbele


Miss Univesy Tanzania 2009, Illuminata Wise bado anaendelea kudunda huko Bahamas kusaka nafasi ya urembo wa Dunia,hivyo tutapaswa tuendelee kumpigia kura zaidi na zaidi na pia kumuombea dua ili aweze kushinda taji hilo.kura yako utaweza kupiga kupitia mtanda huu http://www.missuniverse.com/members/profile/41815

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad