
Muziki ni safari, Kwa wanaokumbuka enzi hizo ukilitaja jina Solo Thang kila mtu mpenda Muziki anasisimuka, kwani ni mmoja wa wanamuziki wa Kizazi kipya ambao kwa kiasi kikubwa "walipigana vita ya msituni" kufanya muziki huu ukubalike kwa jamii. Kwa sasa Solo Thang AKA Traveller AKA Msafiri anaishi Uingereza akiwa ameoa na amejaaliwa kupata mtoto mmoja anayeitwa YASSIR na Mama yake anaitwa YASMIN.Kwa muda sasa mwanamuziki Solo Thang amekuwa kimya sana.kutaka kujua yuko wapi na anafanya nini kwa sasa waweza zama katika wanja la kaka Pius Mikongoti mzee wa Spoti Starehe kwa kubofya
hapa kwa kupata mahojiano zaidi aliyofanya na msanii huyo.
No comments:
Post a Comment