Thursday, January 22, 2026

RAIS MWINYI AMUAPISHA NAIBU MKURUGENZI WA ZAECA

 




Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amemuapisha Ndg. Amina Chande Muumini kuwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi Zanzibar (ZAECA), kufuatia uteuzi wake uliofanywa hivi karibuni.


Hafla ya uapisho huo imefanyika leo, tarehe 22 Januari 2026, Ikulu, Zanzibar sambamba na Kikao cha Baraza la Mapinduzi

No comments:

Post a Comment