HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, July 27, 2025

BENKI YA MKOMBOZI YAFANYA MKUTANO MKUU WA WANAHISA

Mkutano Huo ukiwa ni mkutano wa 16 wa wanahisa umefanyika jana Julai 26, 2025 katika kituo cha kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es salaam ambao ulihudhuriwa na wanahisa kutoka mikoa mbalimbali nchini Tanzania, pamoja na Askofu Mkuu wa Jimbo kuu katoliki la Dodoma, Mhashamu Beatus Kinyaiya OFM Cap










No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad