Thursday, June 5, 2025

Ukibashiri na USSD Unajishindia Samsung A25 Leo

 


ZIKIWA zimebaki siku 25 pekee, Meridianbet inaendelea kukusisitiza kuwa sehemu pekee ya wewe kuondoka na zawadi ya simu aina ya Samsung A25 ipo hapa. Piga *149*10# ubashiri mechi za mpira na ufaidike hapa.

Promosheni hii inaenda kwa kasi sana kadri siku zinavyoenda kwani ilianza toka tarehe 01 Juni na mwisho wake utakuwa ni tarehe 30 mwezi Juni. Hivyo changamkia fursa hii ya kipekee ambayo imekujia na wakali wa ubashiri.

Ili kujshiriki promosheni hii lazima ubashiri kwa kutumia USSD yaani kwa kubonyeza *149*10# na uingie kwenye tovuti uanze kubashiri mechi zako ambapo kwenye promosheni hii dau ambalo linatakiwa kuweka ni shilingi 5000 na kuendelea ndipo uwe moj ya watu ambao wanashindania Samsung A25.

Bashiri na USSD kuibuka bingwa kila Ijumaa wa Samsung A25. Vilevile unaweza kupiga pesa kweye michezo ya Kasino kama vile, Zombie Apocalypse, Keno, Poker, Roullette, Keno, na mingine kibao. Ingia kwenye akaunti yako na ucheze sasa.

Kwahiyo basi ili kuondoka na simu yako inabidi uweke dau lako la 5000 kila wiki na ubashiri mechi zozote za ligi ya mpira wa miguu na Meridianbet wanakuambia kuwa kila Ijumaa simu mbili zitatolewa kwa wale ambao watakuwa wameshinda.

Mteja wa Meridianbet kama unataka kujishindia Samsung A25 inatakiwa ucheze mara nyingi kwani kufanya hivyo ndivyo unajiweka kwenye nafasi ya kuwa mshindi. Sasa unasubiri nini kuingia kwenye gurudumu la washindi?. Jisajili na ubashiri mechi zote na Meridianbet sasa.

Vilevile, Meridianbet wanasisitiza kuwa TURBO CASH haitatumika wakati wa promosheni yaani ukibashiri mechi zake kwa dau lako ambalo umeweka kama mechi kumi inabidi usubiri mechi zote ziishe ndipo uweze kutoa pesa kama umeshinda.

Kumbuka kuwa ni simu 8 pekee ambazo zitakuwa zinashindaniwa hivyo fursa kama hii usiweze kuikosa sasa. Weka dau lako na uanze safari yako ya ushindani sasa. Meridianbet zawadi nje nje kwasasa.

No comments:

Post a Comment