KAMA kawaida promosheni za kibabe zinazidi kuendelea ndani ya Meridianbet ambapo zaidi ya simu 8 kuwaniwa huku nafasi ya wewe kuwa moja ya washindi ikiwa ni kubwa. Ingia Meridianbet usuke jamvi lako la uhakika hapa.
Muda wa promosheni hii ni mwezi mmoja tuu ambapo ilianza tarehe 10 Juni na mwisho wake itakuwa ni tarehe 30 Juni. Mwezi wa kujishindia Samsung A25 ndio huu bashiri mechi zozote kutoka ligi zozote na uwe mshindi sasa.
Promosheni hii ni kwa wateja ambao wamejisajili na Meridianbet pekee, hivyo kama bado hujajisajili muda ndio huu. Vilevile kianzio cha kubashiri mechi ni shilingi 5000 ambapo mteja atabashiri mechi azipendazo yeye, hakuna njia rahisi ya kujiweka na karibu na ushindi kwani mchumia juani hulia kivulini.
Bado hujachelewa sasa una siku 24 zilizobaki za kushindania zawadi hiyo ya Simu janja na wakali wa ubashiri. Kila wiki ukiweka dau la 5000 na ukabashiri ndivyo unavyojiweka karibu kabisa na ushindi. ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo kwenye hizo mechi ambazo anaziweka hivyo ni rahisi sana kutusua hapa.
Huku promosheni ikiwa inaendelea Meridianbet wametenga siku maalumu ambayo itakuwa ni Ijumaa ambapo simu 2 zitatolewa kwa washindi, hivyo huenda leo hii ndio bahati yako. Mechi nyingi za ushindi zipo kila siku hivyo kadri unavyobeti mara nyingi ndivyo unavyojiweka kwenye nafasi ya kushinda simu janja.
TURBO CASH haitatumika wakati wa promosheni yaani ukibashiri mechi zake kwa dau lako ambalo umeweka kama mechi kumi inabidi usubiri mechi zote ziishe ndipo uweze kutoa pesa kama umeshinda.
No comments:
Post a Comment