WAKALI wa ubashiri Meridianbet wamekuletea ofa kubwa kabisa ya Aviator ambayo kupitia mchezo huu wa kasino unaweza ukajishindia simu mpya kali kabisa Samsung A25. Jiunge sasa kwenye kinyang’anyiro hiki mapema uibuke mshindi.
Promoshnei hii imeanza siku ya jana ya tarehe 1 mwezi Juni na itatamatika tarehe 30 mwezi Juni mwaka huu huku nafasi ya wewe kuweza kushinda simu ikiwa juu zaidi kwani unachotakiwa kufanya ni kucheza AVIATOR tuu.
Meridianbet wanakwambia kuwa promosheni hii ni maalumu kwa wateja ambao wamesajiliwa kwenye tovuti na kwenye program za simu za www.meridianbet.co.tz. Hivyo changamkia fursa hii kabla mwezi hujaisha.
Wakati promosheni hii ikiendelea Meridianbet wametenga siku moja ya kutoa simu mbili kwa washindi ambayo itakuwa ni Jumatatu, hivyo ndugu mteja ukiwa unacheza kumbuka kuwa unaweza ukawa moja ya washindi ambao atajipatia Samsung A25 yake kali kabisa Jumatatu.
Ukiacha na promosheni hiyo ya aviator, pia unaweza kutengeneza pesa kwa kucheza michezo mingine ya Kasino kama vile, Keno, Poker, Roullette, Keno, na mingine kibao. Ingia kwenye akaunti yako na utengeneze pesa hapa.
AVIATOR ni mchezo pendwa kabisa wa kasino ambao unakufanya utengeneza pesa ndani ya muda mfupi kabisa ukiwa na Meridianbet kwani kwa dau lako dogo tuu la shilingi 2 tuu unaweza ukacheza mchezo huu.
Kumbuka kuwa kadri ambavyo unacheza mara nyingi ndivyo ambavyo unajiweka kwenye nafasi nzuri ya kuibuka kidedea kwenye promosheni hii. Unasubiri nini sasa?. Ingia Meridianbet lakini pia unaweza ukabashiri mechi za ligi za wanawake zinazoendelea kwenye tovuti ya Meridianbet. ODDS KUBWA na Machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Jisajili na ubashiri hapa.
Meridianbet inasisitiza kuwa hakuna mashari magumu kwenye kushiriki Promosheni hii, pia kila mchezo ni nafasi ya wewe kushinda. Vilevile washindi lazima watangazwe kila wiki ambapo itakuwa ni Jumatatu.
No comments:
Post a Comment