HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, October 14, 2024

RAIS SAMIA ASHIRIKI MISA TAKATIFU YA KUMBUKIZI YA HAYATI BABA WA TAIFA MWALIMU JULIUS NYERERE.










































PICHA ZA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt,Samia Suluhu Hassan leo October 14,2024 ameshiriki ibada ya Misa takatifu ya kumbukizi ya Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere katika Kanisa la Mt.Francis Xavier Nyakahoga Mkoani Mwanza leo October 14 2024.












 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad