Daladala likiwa limebebwa kwenye mkokoteni likitoka maeneo ya Dodoma Inn kuelekea barabara ya Dar es salaam mjini Dodoma Novemba 2, 2017. Licha ya kusababisha mshangao kwa watuomiaji wa barabara pia lilisababisha msongamano wa magari. Picha na Hilary Bujiku wa Ofisi ya Waziri Mkuu
No comments:
Post a Comment