Mabasi ya abiria yanayofanya safari zake kutoka Dar es Salaam kwenda mikoani yakiyapita magari yaliyombele kwenye kona na mteremko mkali barabara kuu ya Dar es Salaam- Morogoro eneo zilizopo Ofisi za Taasisi ya Utafiti wa Misitu Tanzania ( TAFORI) karibu Kingolwira mjini Morogoro asubuhi ya Oktoba 17, mwaka huu ( 2017) ikiwa ni siku mbili tu baada ya Makamu wa Rais , Samia Suluhu Hassan , kuzindua wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani kitaifa mkoani Kilimanjaro yenye kauli mbiu ‘ Zuia ajali , Tii Sheria , Okoa Maisha’ . ( Picha na John Nditi).
No comments:
Post a Comment